Amini usiamini… Kuwa na utumbo mpana msafi ndio ufunguo wa kupungua uzito, unene, kitambi au tumbo.

Unawajua Adui Zako 3 Wanaosababisha Usipungue Licha Ya Jitihada Zako Zote Za Kujaribu Kupungua? Tumia Njia Hii Mpya Kuwashinda Adui Zako Na Kuanza Kuporomosha Kitambi, Tumbo Au Uzito Uliogoma Kushuka Ndani Ya Siku 21 Tu Pasipo Kufanya Mazoezi Makali Au Kujinyima Chakula Ukipendacho!

Mpendwa msomaji,

Kama unataka kupungua uzito, unene, kitambi au tumbo haraka pasipo kufanya mazoezi ya aina yoyote ile au kujinyima chakula ukipendacho basi ujumbe huu utakuwa wa kufurahisha ambao hujapata kuusoma kwenye maisha yako.

Na hii hapa ndio sababu:

Kupangilia chakula vizuri (Diet) na kufanya mazoezi haviwezi kukusaidia kupungua hata siku moja.

Sababu ya kwanini havitakusaidia kupungua ni kwamba haviondoi kiini cha tatizo.

Tazama kama unataka kupungua uzito, unene, kitambi au tumbo una adui wa tatu (Three big enemies). Uwepo wa adui zako hawa 3 hata ufanye nini huwezi ukapungua hata siku moja.

Adui yako wa kwanza ni kuwa na utumbo mpana mchafu (Unclean and unhealthy colon)

Ushawahi kusikia usemi huu?

Kifo Kinaanzia Kwenye Utumbo Mpana (Death Begins In The Colon)!

Usemi huo ni kutoka kwa mwanasayansi maarufu wa Kirusi anayefahamika kwa jina la Elie Metchnikoff... Usemi huo ni kweli. Hakuna ambaye anaweza akapingana nao. Kama unataka kuishi maisha marefu ukiwa na afya njema.... Jambo moja la msingi ambalo unaweza ukalifanya ni... Kufanya hima utumbo wako mpana ni msafi na upo kwenye afya njema.

Umeshawahi kujiuliza kama mwili wako kwa ndani ni msafi kama ulivyo msafi kwa nje?

Tunaoga kila siku. Tunasafisha meno yetu kila siku. Wengi wetu tunapaka mafuta kila siku. Wengine wanapaka rangi kwenye kucha na wengine tunazikata ili kuzitunza na kuzifanya zivutie. Lakini wengi wetu tunashindwa kufanya hima ndani ya miili yetu kuwe ni kusafi pia.... Mpaka tuanze kupata dalili za ugonjwa fulani ambazo zinakuwa kama zinatupigia simu asubuhi mapema.

Ukweli ni kwamba, uchafu,sumu na wadudu tunaowapata kupitia vitu tunavyovipitisha mdomoni vyote vinaenda kujirundika kwenye utumbo mpana. Ikimaanisha – Kama tunahitaji kuwa na afya njema lazima utumbo mpana usafishwe mara kwa mara.

Kama una changamoto ya uzito kuongezeka, maumivu ya tumbo, Kuishiwa nguvu mara kwa mara, ni uhakika kabisa kwamba utumbo wako mpana ni mchafu na umejaa sumu nyingi.

Kwanini Kuwa Na Utumbo Mpana Msafi Ni Muhimu Sana!

Kila mmoja wetu kila siku anaingiza maelfu ya sumu na kemikali mwilini. Sumu na kemikali hizi tunazipata kupitia vyakula tunavyokula, Maji tunayokunywa, Hewa tunayovuta, na madawa tunayotumia.

Sumu na kemikali hizi pamoja na milo mibovu tunayokula kila siku inasababisha kuwepo kwa mmeng’enyo mbovu wa chakula na hivyo kupelekea uzito kuongezeka kila siku.

Amini usiamini (autopsies) upasuaji wa maiti kujua nini kimepelekea kifo cha marehemu unadhihirisha kwamba asilimia 80% ya watu waliokufa utumbo wao mpana umejaa takataka kibao. Takataka hizi zinatengeneza mazingira kwa viumbe vamizi (Bakteria) kuishi tumboni. Viumbe hawa vamizi wanaanza kushambulia seli za miili yetu na kusababisha magonjwa mbalimbali ikiwemo hata kuongezeka uzito.

Kwahiyo unatakiwa kujua kwamba...

Kusafisha Utumbo Wako Mpana Ndio Hatua Ya Kwanza Ya Kupungua!

Kama unataka kupungua uzito, unene, tumbo au kitambi hatua ya kwanza kabisa ni kupambana na adui yako namba moja ambaye ni utumbo mpana mchafu.

Kupambana naye maana yake ni kusafisha na kuondoa sumu na takataka zote vinginevyo kila njia utakayojaribu kupungua itafeli.

Lakini kwa kusafisha utumbo wako mpana utashangazwa jinsi ambavyo kilo zilizokuwa zimegoma kupungua zinaporomoka kama jiwe kwenye mteremko mkali.

Hata hivyo huyo ni adui wa kwanza kati ya adui zako 3.

Adui yako wa pili ni njaa.

Hakuna mtu mwenye uwezo wa kukaa na njaa kwa muda mrefu pasipo kula. Labda kama lengo lako ni kujiua –Hii inamaanisha kufunga hakusaidii kupungua kwasababu ukiwa na njaa kali kwa kawaida lazima ule sana na kama huna njaa ukila ni kidogo tu unakuwa umeshiba.

Kwahiyo kama unataka kupungua hutakiwi ukae na njaa kwa muda mrefu badaka yake inatakiwa ule mara kwa mara ikiwezekana hata mara 6 kwa siku.

Lakini siri ya kula mara kwa mara imejificha kwenye aina ya chakula ambacho ndo unatakiwa ule vinginevyo kupungua kutabaki ndoto ya mchana kweupe.

Usijali nitakwambia aina ya vyakula ambavyo ukivila kwanza vitakufanya usihisi njaa na pili vitakufanya usiongezeke. Hii ni muhimu kwasababu kama unapungua na wakati huo huo unaongezeka ni ngumu kupungua. Kwahiyo ni vyema ukadhibiti kuongezeka kabla ya kuanza kupungua.

Adui yako wa 3 na wa mwisho ni kuwa na metaboliki ya chini (Slow metabolism.

Metaboliki yako (Metabolism) ndio kipimo cha mwili wako kuunguza mafuta. Kuna watu wana metaboliki ya haraka. Ikimaanisha wanaweza wakala chochote wanachokitaka na kwa kiasi wanachokitaka... na... wasiongezeke hata nusu kilo.

Lakini watu wengi, watu kama mimi na wewe, hatuna bahati hiyo. Metaboliki yetu inashuka kila mwaka. Kwahiyo sisi hatuwezi tukala kila kitu kwa kiasi tukitakacho kama rafiki zetu wenye metaboliki ya juu na haraka vinginevyo...

Rafiki Zetu Wenye Metaboliki Ya Juu Wao Hawataongezeka Na Wakati Sisi Tukila Sana Chakula Chochote Tunakuwa Kama Fuso Ambalo Linarundika Mchanga Sehemu Na Mchanga Huo Usitumike Kwa Muda Huo!

Tufanye nini kuhusu hili? Ambacho hatutakiwi kufanya kwa mtazamo wangu ni kutumia madawa yenye kemikali.

Tazama kuna njia rahisi ya kuongeza metaboliki ndani ya mwili wako. Njia hii inakufaa na ni nzuri kwa afya yako. Njia hii haina gharama kubwa, Inaleta matokeo ya haraka, na nakuhakikishia utaipenda njia hii.

Njia hii ni asilia kabisa kwahiyo huwezi kuipata hospitalini wala kwenye maduka ya madawa.

Njia hii si nyingine bali program maalumi inayoitwa...

MRP

Program hii ni ya siku 21 na inafanya kazi 3 mwilini, ambazo ni kupambana na adui zako 3.

Kwanza kabisa program hii inaenda kusafisha na kuondoa sumu pamoja na takataka zote kwenye utumbo mpana (mkubwa). Kwa kufanya hivyo adui yako wa kwanza anakuwa kaangushwa chini hivyo kufanya iwe rahisi kwako pungua uzito, unene, tumbo au kitambi ndani ya muda mfupi pasipo kufanya mazoezi makali au kujinyima chakula.

Pili: Unakumbuka adui yako wa pili nimekwambia ni njaa na kupambana naye ni kuhakikisha unakula mara kwa mara? Unakumbuka vizuri.

Lakini nimekwambia aina ya chakula utakachokula mara kwa mara ndio muhimu vinginevyo hutapungua. Kwahiyo program hii ya “MRP” ni mjumuisho wa aina ya vyakula ambavyo utakuwa unakula kila mara. Vyakula hivi vitakufanya usihisi njaa na kukuzuia usiongezeke.

Uzuri wa aina hizi za vyakula ambavyo vipo kwenye program hii sio vya gharama na ni rahisi kuvipata sokoni.

Tatu: Program hii inajumuisha aina ya kinywaji asilia ambacho kazi yake ni kwenda kuongeza metaboliki ya mwili wako kuwa juu.

Ukiwa na metabolic ya juu maana yake mwili wako utakuwa na uwezo mkubwa wa kuunguza mafuta hivyo kufanya iwe rahisi kupungua siku hadi siku mpaka kufikia kwenye lengo lako.

Ifahamike kwamba ushindi vitani unapatikana baada ya kumshinda adui. Kwakua lengo la program hii ni kupambana na adui zako 3 ambao wanazuia usipungue basi ushindi wako utakuwa ni kupungua haraka na kwa kasi kufanya iwe ngumu kuamini na kutamani program hii ungeipata mapema sana.

Kwa kutumia program hii utaweza kuondoa kitambi, tumbo (kwa wanawake), nyamauzembe na utapungua uzito ndani ya muda mfupi (siku 21)

Adui zako unawafahamu tayari na nimekupatia siraha ya kupambana nao... kilichobaki ni wewe kuchukua ushindi kiurahisi tu.

Sioni sababu ya wewe kushindwa kufikia lengo lako la kuwa na mwonekano mzuri na kuvaa nguo uzipendazo.

Inagharimu Kiasi Gani Kupata Program Hii Ya MRP?

Ukilinganisha bei ya MRP na program zingine za kupunguza uzito, unene, kitambi au tumbo ambazo kimsingi hata hazikusaidii upungue binafsi utapendekeza bei ya MRP iwe juu.

Na ukizingatia wateja wetu wengi waliotumia MRP wameweza kupungua mpaka kufikia malengo yao ndani ya siku 21 tu pasipo kuendelea kupoteza pesa kwenye program na madawa mengine ya gharama ambayo hayafanyi kazi wengi wao wanasema hata gharama ya MRP ingekuwa 1,200,000 wangenunua.

Fikiria kwa muda ni kiasi gani ungekuwa tayari kulipa ili usaidiwe kupungua uzito, unene, kitambi au tumbo mpaka kufikia lengo lako au...

Ni kiasi gani ungekuwa tayari kutoa kupata tiba au program ambayo kwa asilimia 100% unajua lazima ifanye kazi?

600,000?  1,200,000? Au 2,000,000

Lakini unajua nini? Hutalipia pesa hiyo.

Nimeamua niweke bei ambayo kila mtu anaweza akaimudu na kwa wakati huo huo pesa hiyo iweze kusaidia katika uendeshaji wa program.

Kwahiyo leo kwenye ukurasa huu na hakuna sehemu nyingine unaweza kuipata Program hii kwa sababu haipo hospitalini na wala kwenye maduka ya dawa. Kwenye ukurasa huu ndio sehemu pekee ya kuipata program ya MRP ya siku 21 kwa...

375,000/= Tu.

Kuna sababu kwanini program hii inauzwa kwa bei ndogo sana hivyo.

Ni rahisi kuelewa sababu hiyo.

Lengo la program hii ya MRP ni kuwasaidia wahanga wa changamoto za uzito kuacha kuendelea kupoteza pesa kwenye njia ambazo hazifanyi kazi.

Endapo gharama ya MRP ingekuwa juu sana maana yake wahanga wengi wangeshindwa kumudu bei.

Hivyo basi ndio maana nimeamua kutoa punguzo la bei kubwa ili wahanga wengi wapate suluhisho sahihi la kuporomosha kitambi, tumbo au uzito uliogoma kushuka.

Uhitaji wa program hii ni mkubwa sanaa na program hii haitolewi siku zote, kwahiyo ni vyema ukajiunga kwenye program haraka iwezekanavyo.

Na kama utaondoka kwenye ukurasa huu pasipo kuweka ODA yako kuna uwezekano mkubwa pindi utakaporudi ukakuta program hii haitolewi tena.

Kwahiyo usitoke kwenye ukurasa huu bila kuweka ODA yako.

Na ukumbuke ukurasa huu ndio sehemu pekee ya kuipata program hii. Program hii haiuzwi sehemu nyingine yoyote tofauti na hapa kwenye ukurasa huu.

Kama una hofu ya program hii kutofanya kazi naelewa kabisa hata mimi ningekuwa kwenye nafasi uliyopo kwa sasa lazima ningekuwa na wasiwasi wa kupoteza pesa lakini ili kukuondolea wasiwasi huo program hii utaipata kwa dhamana (Guarantee)

Dhama hii iko hivi:

Tumia MRP kwa muda wa siku 21. Kama baada ya siku 21 utakuwa hujapungua zaidi ya kilo 10, kitambi kuisha, tumbo kubwa kutoweka au kwa sababu yoyote ile utakuwa hujaipenda program ya MRP piga simu kwenda namba 0754308358 toa taarifa utarudishiwa pesa zako zote bila kinyongo chochote.

Hata hivyo nina imani utaipenda MRP na utalidhika kwa maajabu ambayo itakufanyia.

Kwanza kabisa wewe mwenyewe utashangazwa kwa uwezo wa program hii kuporomosha zaidi ya kilo 10 ndani ya siku 21 tu.

Ukweli ni kwamba kwa kuitumia MRP pesa ambazo ungeendelea kuzipoteza kwenye tiba ambazo hazifanyi kazi utazifanyia mambo yako mengine ya msingi.

UNACHOTAKIWA KUFANYA SASA HIVI NI HIKI:

Chini ya maelezo haya kuna sehemu ya kuweka ODA yako. ODA zinazopokelewa ni za watu ambao wana uhitaji wa haraka wa kujiunga kwenye program. Kwahiyo usiweke ODA kama unajua hutajiunga kwenye program haraka iwezekanavyo.



Malipo Yote Yanafanyika Kwa Njia ya Airtel Money Au CRDB Bank.

 

Namba ya Airtel money ni 0784690669 jina Mary Mwakyusa.

 

Namba ya Account Ya CRDB ni 0152435360100 jina Mary Fidelis Mwakyusa.

 

Utafanyiwa Free delivery popote utakapokuwa ndani ya Tanzania. Hii inamaanisha gharama za kusafirisha mzigo mpaka kukufikia ulipo ni juu yangu. 

Kwa mtu wa Dar es Salaam hutakiwi kutuma hela kwa sababu utaletewa mpaka popote utakapokuwa kwa gharama zangu mwenyewe halafu baada ya kupokea mzigo wako ndipo utakapofanya malipo.

 

Na kwa mtu wa mkoani (Nje ya Dar) unalipia pesa yote ya program kwenye namba ya Airtel money au CRDB niliyokupatia hapo juu halafu baada ya kulipia gharama ya kusafirisha mzigo mpaka ukufikie popote ulipo ndani ya Tanzania ni juu yangu.

 

Kwahiyo hatua ya kwanza ni kujaza fomu ya kutuma oda yako halafu baada ya hapo kama upo Dar unasubiri kuletewa siku uliyochagua na...

Kama upo mkoani baada ya kujaza fomu unafanya malipo kwanza ya gharama ya program halafu gharama za usafiri juu yangu nakuagizia mzigo wako mkoani ulipo kwa njia ya bus au boat (wale wa zanzibar)

Kujaza fomu ya kuweka ODA ni rahisi.

 

Bonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa POKEA ODA YANGU. Baada ya kubonyeza sehemu hiyo utafunguka ukurasa mpya wenye fomu. Jaza fomu hiyo kikamilifu na kisha itume. Mara baada ya kupokea fomu yako nitakupigia simu kukujulisha kama ODA yako imepokelewa kikamilifu.

Bonyeza sehemu hii sasa hivi.

Asante kwa muda wako.

Ni mimi,

Madam Mary.

>>0754308358<<

 

P.S: Nakumbushia tena kwamba bidhaa ni chache na uhitaji ni mkubwa sana.

Watu wengi wanaweka ODA kwahiyo muda wowote bidhaa tulizonazo kwenye stoo yetu zitakuwa zimeisha.

Kwahiyo hakikisha hutoki kwenye ukurasa huu bila kuweka ODA yako kwa sababu ukirudi badae au baada ya siku kadhaa unaweza ukakuta bidhaa zote zimechukuliwa na hivyo kujikuta unakosa suluhisho la kweli na la uhakika wa kumaliza changamoto yako mapema.

Na kumbuka program hii lazima ikusaidie kupungua mpaka kwenye lengo lako

Kama hutapungua mpaka kwenye lengo lako una haki ya kudai kurudishiwa pesa zako zote.

Hata hivyo utakavyoanza kutumia MRP utastaajabishwa kwa matokeo ya haraka utakayoanza kuyaona na kwakua utakuwa na furaha kubwa hutakumbuka kuomba hela yako badala yake utakuwa ukiwahamasisha ndugu na jamaa zako wenye uzito mkubwa, vitambi na matumbo makubwa watumie MRP.

Kwahiyo weka ODA yako mapema.

Kuweka ODA ni rahisi.

Bonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa POKEA ODA YANGU. Baada ya kubonyeza sehemu hiyo utafunguka ukurasa mpya wenye fomu. Jaza fomu hiyo kikamilifu na kisha itume. Mara baada ya kupokea fomu yako nitakupigia simu kukujulisha kama ODA yako imepokelewa kikamilifu.

This site is not a part of the FacebookTM website or FacebookTM Inc. Additinally, this site is NOT endorsed by FacebookTM in any way. FACEBOOKTM is a trademark of FACEBOOKTM, inc